Ipi bora zaidi Kati ya hizi Gari IST, Allex na Ractis

Asante. Nataka kitu ya uhakika ambayo haitasumbua, spare zipo, chaji inakaa na betri haifi haraka. Iweze kubeba kilo walau 160 na kutembea 80km kwa single charge. Sidhani kama hii utaipata kwa laki 6.
Mkuu hiyo siyo pikipiki ni baiskeli tu,ukiichaji unatembea nayo kilometres 70 chaji inakata,unanza kuizungusha na pedeli kama bike na ikiharibika spea zake utaimba haleluyah imekaa hovyo ipo chini sana kama mitoy ya watoto,yaani mtu mzima na wewe umekaa kwenye hicho kidude ukipiga mishentown[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…