Ipi course nzuri kati ya diploma ya pharmacy na bachela ya land management and evalution

tsisot

New Member
Joined
Oct 22, 2022
Posts
1
Reaction score
1
Za jioni wadau

Naomba msaada wenu mimi nina diploma ya pharmacy nimemaliza mwaka jana nikataka kuendelea mwaka huu lakini nilikosa awamu zota tatu.

Likaja dirisha la huruma la awamu ya nne kwakuwa nilikuwa na cheti cha form six nikajaribu kuombea nacho pale ardhi (nilifanya kama kujaribu tuu sikuwa na maanisha)na nikatumia na kile cha diploma.

Lakini cha ajabu nimepata pale ardhi course inaitwa land management and evaluation na huku nilipo omba degree ya pharmacy nimekosa kote.

Sasa naomba ushauri niende nikasome huko au nibaki tuu na hiki cheti changu cha diploma
 
Kwa ushauri nenda LMV mdogo wangu,ila jiandae kukaza msuli
 
Achana na famasi mkuu
Siku hizi iyo kuweka cheti tu ni laki 600k
Mpaka unamaliza degree itakuwa laki 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…