Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeenda kwenye maduka ya pembejeo za mifugo na kilimo wangekusaidia kwa haraka.Habari wana jamvi ? Naomba msaada kwa anae fahamu dawa nzuri ya kuongeza uzito kwa kuku wa nyama! Nina kuku zangu zina mwezi sasa ila hazina uzito kabisa. Nawasilisha kwenu wana jamvi.
Mie hao siwakuli kwakweli.[emoji3][emoji3] kila kitu kina madhara, kikubwa utumie kwa kiwango.
Nawala wapi kwamfano? Au kwenye nini?Unaweza kuta unakula ila hujui
Hapana.Hotelini? Unaposafiri unakula chips kuku ?