Kuna doses 5 za Tetanus;
TT1:haina kinga. Ni dose ya awali.
TT2: kinga miaka 3,inachomwa wiki 4 toka TT1.
TT3: kinga miaka 5,inachomwa miezi 6 toka TT2.
TT4: kinga miaka 10. Inachomwa mwaka mmoja toka TT3.
TT5:kinga miaka 20! Inachomwa mwaka mmoja toka TT4.
NOTE: Kwa watu wenye majeraha yanayosababishwa na metallic objects wanaweza kuishia TT3. Ila kwa women of bearing age ni lazima wafikishe hadi TT5. Huo ni mwongozo wa kitabibu uanotumika kwa sasa
...NO COMMENT!