Ipi gari bomba kati ya Prado, Kluger na Suzuki Grand Escudo?

Vipi hujajua kwanini mkuu, nani anataka gari la Diesel sikuhizi ? Unless kama unatafuta gari la kwenda kulimia kijijini hapo sawa...!

Binafsi sijawahi endesha gari ya diesel, ila huwa naona kuna watu wana hype na hizo gari.
Gari ya diesel ni nzuri sana haswa engine zake hua hazisumbui mara kwa mara kulinganisha gari ya petrol pia utumiaji wake wa mafuta ni mdogo kulinganisha na petrol' kwa gari ya kutembelea ya diesel sidhani kama utaenda garage kwa magonjwa ya engine labda kama umeiua mwenyewe kwa uzembe wa servise ama maji au utie chumvi kwenye engine
 
Hakika naungana nawe Prado zx hazitaki manjonjo linakupiga chini fasta
 
Hili la prado kuchomoka tairi na ball joints likoje wakuu? Halina tiba?
Tiba ni likichomoka unarudishia...hakuna tiba nyingine..

Tiba kamili ni watengenezaji walipogundua hiyo weakness, wakaboresha kwa kutoa new modal ya hiyo unayoizungumzia...ina maana kwenye new model kuna mambo mengi ya kimakanika yamerekebishwa
 
Afande tupe mrejesho kabla hatujafunga mwaka...au umeuza unaishi na IST? Hehehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…