Ipi Gari bora kati ya T Harrier,Escudo na RaV4 or RAVj?

Ipi Gari bora kati ya T Harrier,Escudo na RaV4 or RAVj?

kimlas

Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
95
Reaction score
106
Jamani nataka kuagiza kati ya Gari moja wapo kati ya hayo hapo juu... Yaani Harrier au Escudo au RAV4 au RavJ used..Naombeni ipi ni Bora??
 
Bora kivipi ungeeleza dhamira yako wazi mana umelinganisha visivyofanana!.
 
Suzuki grand vitara escudo ni balaaa ile ni ndege aisee kwa ndani na kwa nje
 
mnyama suzuki grand vitara 4 cylinder asee gari moja tamu sana
 
Tatizo matumizi yako n yap kifamilia zaidi au kubana matumzi(mafuta)
 
Matumizi ya Familia na kubana matumizi hasa mafuta ila ikiwa na space na capacity ya kusafiri mbali kama nikitaka

Tatizo matumizi yako n yap kifamilia zaidi au kubana matumzi(mafuta)
 
Nunua hii hapa hayo mengine ni kutupa tu hela yako....
TOYOTA-Harrier-5032_28.jpg
 
Rav4 J sio kabisa, hizo gari ni za kwenye lami tu....lkn sisi wengine root zetu hadi rough road na miinuko hazitufai kabisa...inaAccerelate sana lkn nguvu ya kupnda mlima wa vumbi zero kabisa.

bora harrier au kluger.
 
Back
Top Bottom