Ugangaaa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2017
- 370
- 554
Wadau habari ya Leo? Bado nipo kwenye harakati za kutafuta usafiri ambao utasaidia ktk harakati za kimaisha na familia, hasa safari za mikoani kwa mwezi mara 1.
Naomba msaada wa maawazo, ipi gari ngumu hapa ktya Toyota Raum na Toyota Probox?
1. Kuimili mikiki.
2. Matumizi ya mafuta
3. Matengenezo.
Naombeni ushauri wadau na mawazo chanya. Mana hii ndiyo itakuwa gari yng ya 1 kununua na naomba Mungu nipate Chombo ambacho kitaweza kukaa miaka angalau 7. Bajet ya gari isizid 13 milion.