Zile zinazobeba matrekta (Google utaona, acha kuuliza maswali yenye majibu)Probox ndo gari mkuu
Zile zinazobeba matrekta (Google utaona, acha kuuliza maswali yenye majibu)
Weka pichaaaWadau habari ya Leo? Bado nipo kwenye harakati za kutafuta usafiri ambao utasaidia ktk harakati za kimaisha na familia, hasa safari za mikoani kwa mwezi mara 1.
Naomba msaada wa maawazo, ipi gari ngumu hapa ktya Toyota Raum na Toyota Probox?
1. Kuimili mikiki.
2. Matumizi ya mafuta
3. Matengenezo.
Naombeni ushauri wadau na mawazo chanya. Mana hii ndiyo itakuwa gari yng ya 1 kununua na naomba Mungu nipate Chombo ambacho kitaweza kukaa miaka angalau 7. Bajet ya gari isizid 13 milion.
Sijaelewa una maana gani 'Cjaelewa' 'ako' ni nini?Cjaelewa post ako unakosoa au Unajibu?
Kweli mkuu, mana vipato vya Kuunga unga bora uwe na chuma chenye uwezo wa kuhimili mikiki.Probox a.k.a banda lipo poa sana. Buti kubwa cc 1490 hivi. Hata raum ni cc 1490 na hazili mafuta sana ni standard kabisa kwa hali zetu hizi za kiuchumi
Ahsnte sana kwa kuniongezea ushuhuda Mkuu. Kiukweli napata faraja sana. Je kwa bajet yang ya mil 13, naweza ipata kwa kuagiza mpk niwe nayo mkononi?Nnatumia probox mwaka wa nne huu... aisee sijutii... gari ni ngumu hatari.. cha muhimu service tu.. baada ya hapo ni mwendo mdundo.. hainisumbui... napakia mzigo wa dukani kama kilo 600 ivi.. na kanakwenda.. mpaka sometime nakahurumia... naipenda sana probox yangu. Hata ikichoka nikiiuza kwa bei ya kutupa ntaongeza hela niagize ingine ilioko kwenye good condition.... mafuta inakula kidogo sana... kama IST tu.... ushauri wangu... kama mtu anataka hizi gari ndogondogo, bado sijaiona ya kuipiku probox.