Ipi gari yenye thamani zaidi kwa sasa

Me naona ya kwangu Toyota GX 100 ndo gari ghali ,kwa sababu hata mabilionea wa hapa Tanzania wanashindwa kununua..
 
[emoji109][emoji109]Mnyama Mkali Sana Mkuu 4.7 L Koenigsegg twin supercharged V8 kuivusha bongo pale TRA utawaachia Surplus ya kushiba
Ukiileta bongo ikiwa bado ipo bandarin ww huku unaanza kuchunguzwa kama mtuhumiwa wa kosa la uhujumu uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…