Ipi gharama jumla ya mwanafunzi wa chuo cha mifugo Mpwapwa ngazi ya diploma mwenye ufadhili wa serik

Ipi gharama jumla ya mwanafunzi wa chuo cha mifugo Mpwapwa ngazi ya diploma mwenye ufadhili wa serik

the horticulturist

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
1,959
Reaction score
1,907
Nimepata nafasi ya kusoma diploma ya animal health chuo cha mpwapwa sasa joining sijapata mpaka sasa na chuo kuanzia tarehe moja tunaripoti,anayefahamu ada na mahitaji apaswayo kuwa nayo mwanafunzi mwenye ufadhili wa serikali!
Natanguliza shukrani

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom