Nimepata nafasi ya kusoma diploma ya animal health chuo cha mpwapwa sasa joining sijapata mpaka sasa na chuo kuanzia tarehe moja tunaripoti,anayefahamu ada na mahitaji apaswayo kuwa nayo mwanafunzi mwenye ufadhili wa serikali!
Natanguliza shukrani
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums