Ipi haki ya wanafunzi hawa?

Ipi haki ya wanafunzi hawa?

DOMA

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
944
Reaction score
366
Jamani wataalam au wazoefu wa kuhusiana na elimu ya juu, wanafunzi wana haki gani pale wanapotungiwa mtihani nje ya topic walizofundishwa? Kwani udom yamewakuta hayo wanasheria wasaidieni hawa
 
Zaidi ya kulalamika kupitia chanel za shule sidhani kama kuna tatizo la kisheria hapa.
 
walitakiwa wajisaidie wenyewe kwani wao hawazjui haki zao. nn maana ya wasomi? uoga ni dhambi kubwa sana.
 
Mbona ndo yanayotokea vyuo vyote, na hasa mtihani unapotungwa na mwl asiyekufundisha darasani, hiyo ndo elimu ya Tanzania!
 
Mbona ndo yanayotokea vyuo vyote, na hasa mtihani unapotungwa na mwl asiyekufundisha darasani, hiyo ndo elimu ya Tanzania!

kweli tutafika namna hiyo?au ndio wanataka watu tupate supp nini?
 
Back
Top Bottom