D DOMA JF-Expert Member Joined Mar 17, 2011 Posts 944 Reaction score 366 Feb 26, 2012 #1 Jamani wataalam au wazoefu wa kuhusiana na elimu ya juu, wanafunzi wana haki gani pale wanapotungiwa mtihani nje ya topic walizofundishwa? Kwani udom yamewakuta hayo wanasheria wasaidieni hawa
Jamani wataalam au wazoefu wa kuhusiana na elimu ya juu, wanafunzi wana haki gani pale wanapotungiwa mtihani nje ya topic walizofundishwa? Kwani udom yamewakuta hayo wanasheria wasaidieni hawa
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,655 Reaction score 2,506 Feb 26, 2012 #2 Zaidi ya kulalamika kupitia chanel za shule sidhani kama kuna tatizo la kisheria hapa.
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 5,983 Reaction score 6,171 Feb 26, 2012 #3 walitakiwa wajisaidie wenyewe kwani wao hawazjui haki zao. nn maana ya wasomi? uoga ni dhambi kubwa sana.
walitakiwa wajisaidie wenyewe kwani wao hawazjui haki zao. nn maana ya wasomi? uoga ni dhambi kubwa sana.
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Feb 26, 2012 #4 Udom napo kuna matukio balaa.
N NIMIMI Senior Member Joined Apr 2, 2011 Posts 170 Reaction score 16 Feb 27, 2012 #5 Mbona ndo yanayotokea vyuo vyote, na hasa mtihani unapotungwa na mwl asiyekufundisha darasani, hiyo ndo elimu ya Tanzania!
Mbona ndo yanayotokea vyuo vyote, na hasa mtihani unapotungwa na mwl asiyekufundisha darasani, hiyo ndo elimu ya Tanzania!
S siyenda Member Joined Oct 1, 2010 Posts 62 Reaction score 4 Feb 28, 2012 #6 NIMIMI said: Mbona ndo yanayotokea vyuo vyote, na hasa mtihani unapotungwa na mwl asiyekufundisha darasani, hiyo ndo elimu ya Tanzania! Click to expand... kweli tutafika namna hiyo?au ndio wanataka watu tupate supp nini?
NIMIMI said: Mbona ndo yanayotokea vyuo vyote, na hasa mtihani unapotungwa na mwl asiyekufundisha darasani, hiyo ndo elimu ya Tanzania! Click to expand... kweli tutafika namna hiyo?au ndio wanataka watu tupate supp nini?