Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Habari wadau.
Hivi ni Hospitali gani nzuri kwa Mama mjamzito kujifungua.
CCBRT Maternity nimeskia ni mpya naomba kujua uzoefu kwa aliewahi kufika na kupatiwa huduma pale.
Comparing CCBRT na Muhimbili wapi kuna changamoto gani etc. Mfano
Kwenye kujifungua kawaida au operation wapi panafaa na wapi pana changamoto gani. Gharama na huduma kiujumla.
Natanguliza shukrani👏🏼