Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
OkayTunao Wakunga wazuri hapa Arafa Tandika.
Ingekua vizuri kama mtu mwenye uzoefu angeelezea vyote hata kwa manufaa ya wengineOperation au kawaida??
Kawaida unajifungulia popote hata homeIngekua vizuri kama mtu mwenye uzoefu angeelezea vyote hata kwa manufaa ya wengine
Sikushauri kwenda muhimbili aisee! Ni mbwa hao muhimbili aisee! https://jamii.app/JFUserGuide zao muhimbiliHabari wadau.
Hivi ni Hospitali gani nzuri kwa Mama mjamzito kujifungua.
CCBRT Maternity nimeskia ni mpya naomba kujua uzoefu kwa aliewahi kufika na kupatiwa huduma pale.
Comparing CCBRT na Muhimbili wapi kuna changamoto gani etc. Mfano
Kwenye kujifungua kawaida au operation wapi panafaa na wapi pana changamoto gani. Gharama na huduma kiujumla.
Natanguliza shukrani👏🏼
Duh naomba nisaidie experience zaidi ndugu yanguSikushauri kwenda muhimbili aisee! Ni mbwa hao muhimbili aisee! JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala zao muhimbili
CCBRT ni pazuri Sana, shemeji yangu kajifungulia pale alikuwa anatumia bima. Huduna ni nzuri, vitanda vya kisasa zaidi. Kuna private na kawaida hiyo sehemu ya kawaida tu ni fantastic..private unakuwa kwenye room yako, kawaida inakuwa kichumba kimoja watu wawiliHabari wadau.
Hivi ni Hospitali gani nzuri kwa Mama mjamzito kujifungua.
CCBRT Maternity nimeskia ni mpya naomba kujua uzoefu kwa aliewahi kufika na kupatiwa huduma pale.
Comparing CCBRT na Muhimbili wapi kuna changamoto gani etc. Mfano
Kwenye kujifungua kawaida au operation wapi panafaa na wapi pana changamoto gani. Gharama na huduma kiujumla.
Natanguliza shukrani[emoji1376]
Asante sana kwa mchango wako.CCBRT ni pazuri Sana, shemeji yangu kajifungulia pale alikuwa anatumia bima. Huduna ni nzuri, vitanda vya kisasa zaidi. Kuna private na kawaida hiyo sehemu ya kawaida tu ni fantastic..private unakuwa kwenye room yako, kawaida inakuwa kichumba kimoja watu wawili
Hospital Haina watu wengi kwahiyo hakuna msongamano plus madr qa uhakika maana Kuna mikono ya wadau pale.
Mda wowote unazama kumuona mzazi hakuna Sheria za kichawi kama muhimbili
Nakushauri nenda CCBRT Wana vifaa vyote
Asante sanaKama uko Dar na mkeo ana bima wewe nenda directly Muhimbili tuu, sababu mambo ya uzazi hayanaga fundi asikuambie mtu, huko wanakokushauri umpeleke mkeo zikitokea complications basi next stop ni kupelekwa Muhimbili.
So kama uko Dar, wewe nenda tuu Muhimbili, achana na maneno ya kuponda, hakuna sehemu haina weakness yake.
Duh hii ndo nimeskia leo mkuuKama upo maeneo ya Madale,nenda pale Zahanati ya Madale ipo pale Madale Flamingo,mimi Mke wangu kajifungulia pale yani bure kabsa bila kutoa hela.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app