Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kuna watu wanakazana kuwa wafugaji waachwe Ngorongoro sababu wameishi na wanyama miaka na miaka. Mmojawapo Shivji. Lakini kwa makusudi wanashindwa kusema kuwa kuna idadi fulani ya watu ikifika ecosystem inacollapse. Haiwezi kuwa hivyohivyo kila siku.
Sasa, kama kuna tafiti. Hifadhi ya Ngorongoro inaweza support idadi gani ya wafugaji na mifugo yao?
Sasa, kama kuna tafiti. Hifadhi ya Ngorongoro inaweza support idadi gani ya wafugaji na mifugo yao?