Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hii ndiyo Njia sahihi.Kuna watu wanakazana kuwa wafugaji waachwe Ngorongoro sababu wameishi na wanyama miaka na miaka. Mmojawapo Shivji. Lakini kwa makusudi wanashindwa kusema kuwa kuna idadi fulani ya watu ikifika ecosystem inacollapse. Haiwezi kuwa hivyohivyo kila siku.
Sasa, kama kuna tafiti. Hifadhi ya Ngorongoro inaweza support idadi gani ya wafugaji na mifugo yao?
Wenye magari wanapita tu, na wenye hotel hawategemei rasilimali za mbugani.Idadi ya magari na ujenzi mahoteli ipunguzwe sambamba na ujenzi wa kiwanda cha nyama ili kumaintain idadi ya mifugo kama kweli lengo kuu ni uhifadhi.
Narudia kusema ngorongoro unaijua ya magazeti na propaganda za kina manongi,tembea huko ukajionee vituko!Wenye magari wanapita tu, na wenye hotel hawategemei rasilimali za mbugani.
Let nature take its cause.. . The imperfections of humans cannot control it successfullyKuna watu wanakazana kuwa wafugaji waachwe Ngorongoro sababu wameishi na wanyama miaka na miaka. Mmojawapo Shivji. Lakini kwa makusudi wanashindwa kusema kuwa kuna idadi fulani ya watu ikifika ecosystem inacollapse. Haiwezi kuwa hivyohivyo kila siku.
Sasa, kama kuna tafiti. Hifadhi ya Ngorongoro inaweza support idadi gani ya wafugaji na mifugo yao?