Ipi imara kati ya pikipiki boxa 150 ya gia 5 na gia 4

Ipi imara kati ya pikipiki boxa 150 ya gia 5 na gia 4

devinyo1987

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
268
Reaction score
370
Wana jf habar...nini tofauti au ipi bora ..imara kati ya boxa 150 Gia 5 na Gia 4.
 
Gia 5 ni update ya gia4 wengi wanasema gia 4 ni zur zaid sjui kwann ..mm ninayo gia 4 zle mdomo wa bata mkiwa road mmeongozana na gia 5 huwezi gundua mana huwa haziachani kabsa
 
Back
Top Bottom