D devinyo1987 JF-Expert Member Joined Mar 12, 2021 Posts 268 Reaction score 370 Sep 20, 2021 #1 Wana jf habar...nini tofauti au ipi bora ..imara kati ya boxa 150 Gia 5 na Gia 4.
RO7 ZA MGOS JF-Expert Member Joined Sep 27, 2016 Posts 2,018 Reaction score 5,752 Sep 21, 2021 #2 Gia 5 ni update ya gia4 wengi wanasema gia 4 ni zur zaid sjui kwann ..mm ninayo gia 4 zle mdomo wa bata mkiwa road mmeongozana na gia 5 huwezi gundua mana huwa haziachani kabsa
Gia 5 ni update ya gia4 wengi wanasema gia 4 ni zur zaid sjui kwann ..mm ninayo gia 4 zle mdomo wa bata mkiwa road mmeongozana na gia 5 huwezi gundua mana huwa haziachani kabsa