Ipi inafaa kati ya hizi?

Subaru Impreza Uniqueness, Speed good car.. Bei gani hiyo CIF??
 
Naona bado ist ni nzuri, ni gari yako ya kwanza? Sorry km nimeuliza swali obssesive
 
Sasa mkuu hiyo ndo yenyewe ila uwe makini kwenye mambo ya service au sio.. Ila mkuu mchagua jembe sio mkulima!(Subaru Impreza)
 
kama ni gari ya kwanza tafuta carina ti ni cc 1500 ina boot, saloon, roho ya paka spare za kumwaga ww tu, bei mchekea ww tu.
 
Mkuu mim nakushauri toyota passo, ni gari nzur , hasa kama ukibadilisha matairi na kuweka 15,. Engine size 990c,na iwe vvti au vvt. So kama ndio unaanza na gari la kwanza , go for Passo.. Ni vile watu hawayajui...ila kuna jamaa angu analo,lipo poa sana, in terms ya vyote unavyotaka, bei ya kununua, ulaji wa mafuta, ila kuhusu spare sina uhakika , but as long ni toyota, sio ishu, zinapatikana.
 

Kama unauwezo wa kawaida go for IST

Kwa Subaru watafute kina TCleverly, CYBERTEQ, Masatu...watakupa uzoef
 
Starlet inanusa wesee hahahahahs....haitumii kabisas
 
Naomba kujuzwa..hivi bei za ist mpaka kutoka bandarini ni kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…