I S T best 1st car so far.
Vitu vya kuzingatia.
(1) Documents. Hakikisha gari ina valid documents original. Na mkabadirishane TRA maana IST zinapigwa sana unaweza kuta watu walibadirisha chasis number. So make sure Chasis number ya kwenye kadi ipo sawa na gari.
(2) Owner. Usinunue gari kwa OWNER MASIKINI. Tafuta mtu ambae atleast ana magari mawili au matatu. Masikini bwana tunavitumia gari tunajijua wenyewe.
(3) Nenda na mtu mwenye same car akatest drive. Hii itasaidia maana ata compare na gari lake afu atakuambia hui is better au worse. Sijasema fundi, nimesema mtu tu mwenye same car labda mwaka mmoja hivi. Tatizo mafundi kwenye test drive hawapo vizuri, washazoea madude mabovu kwahiyo gari ata ikiwa haina nguvu watasema poa tu.
(4) Nenda na fundi. Akaangalie mambo ya ufundi.
(5) Ukiridhika kila kitu nunua. Mlipiane Bank sio cash. Na mjaziane mkataba fresh.
(6) NENDA KWA YULE DEMU ALIEKUKATAA KIPINDI UMEPIGIKA UKIWA UMA DRIVE WINDOWS DOOOOOOOOOOOOWN MZIKI KAMA WOOOOOOOTE..