Hongera sana MkuuAsanteni Sana kwa ushauri wenu nmechukua battery dry n40 Aina ya incoeView attachment 1815363
Inauzwa bei gani?Asanteni Sana kwa ushauri wenu nmechukua battery dry n40 Aina ya incoeView attachment 1815363
Ni picha tuu imegeuka mkuu wanguHongera sana Mkuu
sasa mbona lipo UP SIDE DOWN au ni picha nzima imegeuka? ngoja nitafute miwani
inashauriwa likae wima kama lilivyoundwa , hapo utamaliza miaka miwili ya uhai wake km na wewe utakuwepo hai
Umelazimishwa kumshauri?Wabongo bhana kitu kidogo mtu anaomba ushauri jukwaani, Sasa hiyo ni betri sipati picha hiyo Gari waliombwa ushauri watu wangap?
Maana hata huu ushauri wa betri nahisi haujaanzia hapa jukwaani. Mtu Kama huyi hakawii kuomba ushauri kuwa mama yake anaomba pesa ampe au asimpe??
Hujawahi omba ushauri na ukapata vitu vya zaida ambavyo hukuvitegemea mwenzako nmejifunza vitu vingi Sana wewe unashangaa kuulizia betry kwa taarifa tu mimi hata chakula huwa naulizia bei kabla ya kuagiza sababu nilishawahi kula plate moja ya msosi kwa 100 us dollars pia kila mtu anaangle yake ya ushamba mkuu hakuna mjuaji wa vitu vyoteWabongo bhana kitu kidogo mtu anaomba ushauri jukwaani, Sasa hiyo ni betri sipati picha hiyo Gari waliombwa ushauri watu wangap?
Maana hata huu ushauri wa betri nahisi haujaanzia hapa jukwaani. Mtu Kama huyi hakawii kuomba ushauri kuwa mama yake anaomba pesa ampe au asimpe??
basi itakuwa N50 au upo Mji gani maana miji mikubwa wanafika 100,000/ kwa N40Dry wamenipiga 130000 Ijapokuwa kulikuwa na makampuni mengine yalikuwa chini kidogo
Wabongo bhana kitu kidogo mtu anaomba ushauri jukwaani, Sasa hiyo ni betri sipati picha hiyo Gari waliombwa ushauri watu wangap?
Maana hata huu ushauri wa betri nahisi haujaanzia hapa jukwaani. Mtu Kama huyi hakawii kuomba ushauri kuwa mama yake anaomba pesa ampe au asimpe??
Leta uzi wako wa mambo makubwa makubwa sisi tuachie huu unatufaa sanaWabongo bhana kitu kidogo mtu anaomba ushauri jukwaani, Sasa hiyo ni betri sipati picha hiyo Gari waliombwa ushauri watu wangap?
Maana hata huu ushauri wa betri nahisi haujaanzia hapa jukwaani. Mtu Kama huyi hakawii kuomba ushauri kuwa mama yake anaomba pesa ampe au asimpe??
ni ngum sana kuelewa hizi mambo vijana wa leo wavivu wavivu ndio maana hata kuendesha manuall hawawezi wanalalamika..dereva wa zamani ni nusu fundi asilimia stini anatengeneza mwenyewe au faham matatizo ya gari..Bettery ya Maji ni nzuri ila inahitaji uangalizi mkubwa sana ili udumu nayo mda mrefu mfano unatakiwa kuikagua kila baada ya mda kuangalia kama maji yamepungua ili uongeze, uwe na utaratibu wa kukagua kama vile vitundu vya kupitishia hewa havijaziba
Lakini bettery ya dry ukifunga umefunga Kwenye kudumu battery ya maji inadumu mda mrefu kuliko ya dry
LEGE Mkuu wewe ni mtaalam na mwalimu licha ya kuwa ni fundi wa magari lkn hapo hujatutendea haki maana hujamaizia kati ya hizo betriwengi wanaongopeana kwamba dry cell sijui bettry wakiamin kwamba hazina maji.na hawazitaki betri za maji kwa kuwa hawana uelewa wowote na betri