HELLO JF, mi nimetatizika na hili jambo la ndoa kati ya kimila na serikali hivyo ningependeza kujua maana kwa faida na hasara zipatikanazo katika ndoa hizi ili niwe makini nisije kutengeneza bomu la ndoa manake mi bado bachela.! wenye kujua tafadhali mniweke wazi.
KWa mtazamo wangu kwa maisha ya duniani zote ni sawa kuonyesha watu kuwa umefunga noda.
Lakini kwa Mungu nyie bado ni wazinifu hamjafunga ndoa takatifu, Mungu hajawaungannisha bado mmeunganishwa na mila na serikali.
na ndio kitu kinachonitatiza sana,manake walikufa kabla ya hizo dini kuwafikia je kwa kuwa hawakuungama hapo kabla,watahukumiwa kwa sheria gani na bwana Mungu.????Nina mashaka na mtazamo wako, vipi kuhusu wasio na dini? wote watakwenda Jehanamu kwa kuwa tu walifunga ndoa kimila/kiserikali? Vipi kuhusu mababu zetu ambao waliishi kabla hizi dini hazijaletwa kwetu na Wazungu na waarabu? nao walifanya uzinifu?
Nina mashaka na mtazamo wako, vipi kuhusu wasio na dini? wote watakwenda Jehanamu kwa kuwa tu walifunga ndoa kimila/kiserikali? Vipi kuhusu mababu zetu ambao waliishi kabla hizi dini hazijaletwa kwetu na Wazungu na waarabu? nao walifanya uzinifu?
na ndio kitu kinachonitatiza sana,manake walikufa kabla ya hizo dini kuwafikia je kwa kuwa hawakuungama hapo kabla,watahukumiwa kwa sheria gani na bwana Mungu.????