SorrySorry siipendi kwakweli
Goodmorning naipenda nikisalimiwa na mwanaume wangu tuππ....kwa wengine siipendi
Siipendi tafadhali
Habari naipenda..sababu hata Mimi mwanzo wa mazungumzo na mtu huanza na "habari"...
NitakubutuaSorry
ππππSorry siipendi kwakweli
Goodmorning naipenda nikisalimiwa na mwanaume wangu tuππ....kwa wengine siipendi
Siipendi tafadhali
Habari naipenda..sababu hata Mimi mwanzo wa mazungumzo na mtu huanza na "habari"...
ππππππππ
Wanawake huwa mnasema excuse me kwa dharau sana
Napenda salama ya :"hey"maana unifanya nijione kijana (note ni mentality yangu) , habari ni kunizeesha.Tanzania ni nchi ambayo tuna lugha 2 rasmi za kiserikali zinazotutambulisha
Je katika mazungumzo na watu wa Rika mbalimbali ni kauli ipi mtu akikwambia unaona ina heshima au inaonyesha dharau kwako
1. Kati ya Samahani na Sorry
Pale mtu anapokukosea
2. Good morning na Habari za asubuhi
Akiwa anakusalimu
3. Excuse me na tafadhali
Pale mtu anapotaka kukuomba jambo
4. Hey na Habari
Na nyinginezo
Kumbe unawezaga kuandika kiswahili eehπHakuna kinachokera kama mtu kulazimisha lugha bila sababu za msingi.
Kumbe unawezaga kuandika kiswahili eehπ
Hehe.sawa mpendwa.Umenifananisha bana.