Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kutengeneza na kuuza iwapo upatikanaji wa malighafi ni rahisi na gharama ni ndogo za kuchakata na kupata bidhaa husikaKutengeneza na kuuza
Inategemea na mzunguko na volume ya bidhaa zako.Ipi inalipa zaidi:-
- Kununua na kuuza rejareja/jumla, au
- Kutengeneza na kuuza
Ni kweli mkuu nakubaliana na weweKutengeneza na kuuza iwapo upatikanaji wa malighafi ni rahisi na gharama ni ndogo za kuchakata na kupata bidhaa husika
Nakubali,ingawa changamoto kubwa huwa ni mtajiInategemea na mzunguko na volume ya bidhaa zako.
Ila manufacturing ina faida kuliko wholesale
Kwa taarifa yako baada ya kiwanda cha kuchakata mafuta worthing $6bn kukamilika anainunua Arsenal kwa $2bn.Dangote yeye alisema alianza na kutrading baada ya babu yake kumpa mtaji na alifanya food business, pia alirudisha mtaji aliokopewa na babu yake ndani ya miezi 3. so oviously alifanya hiyo kununua na kuuza ambayo ni wholesale/retail trade, he said I started with trade then after become succeed in trade I go to agricultural and manufacturing, he said the top success in grow is to become a determined person and be humble to any situation. And since yet I have try to become like Aliko Alhaji Dangote the top nigerian and black richest man in least richest continent among the world, The Dangote is now risen his networth approximately to 17$billions and leading consecutively as richest man in africa, currently owns largest conglomerate business invest in sugar, flour, and cements manufacturing within africa. Mike Adenuga in 2019 become second richest man in africa after replaces the rupert of south Africa worth, Adenuga mentioned to be 9$billions after Dangote, What a surprise to see Nigerian black africans on the leading, Femi Otedola and the rest are among Nigerian who are not sleep eventually so what a chance Na? (in nigerian voice hahaha), kiukweli Tanzania tuna usharobaro eti tunadharau biashara ohh unakuta graduates hawezi kukubali auze maji wala chapati why Said Salim Bakhresa atengeneze na auze. I like the brilliant ideas from West Africa, countries within the Saharan desert and rest successful mogul here in africa....
Mkuu Nchi za Afrika zina utajiri wa rasilimali mafuta,Madini na vitu vingine ambavyo viliwafanya baadhi ya matajiri waliofanya kazi na Serikali kutajirika kupitia huko wewe utaambiwa hela alizopewa na babu yake hapo mwanzoni katikati hapo hutaambiwa chochote...Dangote yeye alisema alianza na kutrading baada ya babu yake kumpa mtaji na alifanya food business, pia alirudisha mtaji aliokopewa na babu yake ndani ya miezi 3. so oviously alifanya hiyo kununua na kuuza ambayo ni wholesale/retail trade, he said I started with trade then after become succeed in trade I go to agricultural and manufacturing, he said the top success in grow is to become a determined person and be humble to any situation. And since yet I have try to become like Aliko Alhaji Dangote the top nigerian and black richest man in least richest continent among the world, The Dangote is now risen his networth approximately to 17$billions and leading consecutively as richest man in africa, currently owns largest conglomerate business invest in sugar, flour, and cements manufacturing within africa. Mike Adenuga in 2019 become second richest man in africa after replaces the rupert of south Africa worth, Adenuga mentioned to be 9$billions after Dangote, What a surprise to see Nigerian black africans on the leading, Femi Otedola and the rest are among Nigerian who are not sleep eventually so what a chance Na? (in nigerian voice hahaha), kiukweli Tanzania tuna usharobaro eti tunadharau biashara ohh unakuta graduates hawezi kukubali auze maji wala chapati why Said Salim Bakhresa atengeneze na auze. I like the brilliant ideas from West Africa, countries within the Saharan desert and rest successful mogul here in africa....
He said that he will take arsenal for 2bn$ dollars soon after accomplish of his oil refinery and gas.Kwa taarifa yako baada ya kiwanda cha kuchakata mafuta worthing $6bn kukamilika anainunua Arsenal kwa $2bn
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua ushauri huuInategemea na mzunguko na volume ya bidhaa zako.
Ila manufacturing ina faida kuliko wholesale
Mkuu salamu,Ipi inalipa zaidi:-
- Kununua na kuuza rejareja/jumla, au
- Kutengeneza na kuuza
Ili upate super profit tengeneza then uza rejarejaIpi inalipa zaidi:-
- Kununua na kuuza rejareja/jumla, au
- Kutengeneza na kuuza