dropingcoco
Senior Member
- Jun 21, 2008
- 124
- 11
hivi kweli eeh....halafu pia kwa sisi wakinadada nasikia tuna punguzo la asilimia kadhaa kwenye mambo hayo.......wadau msaada plz
Mwee we mtoto !
Unajua nilivyoiona hiyo rangi nikajua ni post ya Preta, maana nimezoea kuona unapost kwa rangi hiyo kwahiyo sikuhangaika hata kusoma jina. Sasa hapo kwenye nini tena, nikajua unajiuliza swali! Haya tukiacha hayo ni kweli wanawake wanapata punguzo kwenye insurance premium.nini tena jamani jamani?
Phoenix ni wazuri. Usikate ya gari tu fikiria na life insurance
Unajua nilivyoiona hiyo rangi nikajua ni post ya Preta, maana nimezoea kuona unapost kwa rangi hiyo kwahiyo sikuhangaika hata kusoma jina. Sasa hapo kwenye nini tena, nikajua unajiuliza swali! Haya tukiacha hayo ni kweli wanawake wanapata punguzo kwenye insurance premium.
Oh ni amount unayochajiwa na zile kampuni za insurance ndiyo inaitwa hivyo. Kwahiyo kama unakata comprehensive au otherwise charge yake ni ndogo kwa kina dada/mama, kwa sababu wao risks yao ya kuhusika kwenye ajali ni ndogo. Nadhani hata life cover charges kwa wanawake ni ndogo kutokana na life span yao kuwa kubwa though kwa Tz inaweza kuwa tofauti kutokana na ukweli kwamba maambukizi mengi ya ukimwi ambao kwa kiasi fulani unapunguza life span ni makubwa kwa wanawake. But this is only true km charges zinafanywa scientifically.nieleweshe zaidi mpendwa kwa faida yangu na wenzangu.....hiyo premium ni ipi?