Ipi Itafaa kati ya Bmw E90 na Mercedes W203.

Mbushuu

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Posts
2,175
Reaction score
3,398
Habari wakuu!
Nipo kwenye mchakato wa kuagiza gari mojawapo kati ya mercedes benz w203 na Bmw E90 ila nahitaji mawazo yenu kuhusiana na: Uimara,running cost pamoja na matumizi ya mafuta.
 
Huwezi ukawa serious upo katika point ya kuagiza gari halafu unataka wanajf ndo wakuchagulie
 
E90 ina muonekano mzuri zaidi kuliko w203, well, sababu e90 ni model ya 2006 wakati w203ni model 2001 japo imedumu mpaka 2007. Running costs, almost the same, ingawa w203s ni nyingi hapa kwetu kuliko e90s, so nafikiri parts za w203 zitakuwepo nyingi zaidi na mafundi wake watakuwepo wengi. Matumizi ya mafuta siwezi sema saana sababu hizo gari zote zina engine options nyingi. Ila kama utalingalisha 320i na c180, then c180 inatumia mafuta kidogo zaidi kuliko 320i. Mwisho kabisa, Bimmer = Fun, Merc = Comfort.
 
Shukrani sana sana mkuu,vipi taa ya check engine kwa hizi e90 maana bmw nyingi zinasumbuliwa na hili tatizo mkuu.
 
Kama unaiagiza Japan, hakikisha instrument cluster (wengi tunaita dashboard) ni safi, haiwashi taa ya kuonesha tatizo. Ila e90s nzuri ni zile za baada ya facelift. Yaani kuanzia model ya 2009. Hizi hazina shida saana. Usiogope 6 cylinder. Maana 325i na 328i engine zake ziko refined saana na zina roho ya paka. Na ukitaka kufurahia hiyo gari, hakikisha unakuwa rafiki na OEM parts, sio kununua spares za fake fake (japo ni chache kwa gari hizi)
 
Mkuu umenipa madini muhimu sana,salute kwako kaka.
 
Habari wakuu!
Nipo kwenye mchakato wa kuagiza gari mojawapo kati ya mercedes benz w203 na Bmw E90 ila nahitaji mawazo yenu kuhusiana na: Uimara,running cost pamoja na matumizi ya mafuta.
BMW E90 [emoji106]
 
Ushanunua nije kuomba lift?
 
Back
Top Bottom