Huwezi ukawa serious upo katika point ya kuagiza gari halafu unataka wanajf ndo wakuchagulieHabari wakuu!
Nipo kwenye mchakato wa kuagiza gari mojawapo kati ya mercedes benz w203 na Bmw E90 ila nahitaji mawazo yenu kuhusiana na: Uimara,running cost pamoja na matumizi ya mafuta.
Take that BMWHabari wakuu!
Nipo kwenye mchakato wa kuagiza gari mojawapo kati ya mercedes benz w203 na Bmw E90 ila nahitaji mawazo yenu kuhusiana na: Uimara,running cost pamoja na matumizi ya mafuta.
Shukrani sana sana mkuu,vipi taa ya check engine kwa hizi e90 maana bmw nyingi zinasumbuliwa na hili tatizo mkuu.E90 ina muonekano mzuri zaidi kuliko w203, well, sababu e90 ni model ya 2006 wakati w203ni model 2001 japo imedumu mpaka 2007. Running costs, almost the same, ingawa w203s ni nyingi hapa kwetu kuliko e90s, so nafikiri parts za w203 zitakuwepo nyingi zaidi na mafundi wake watakuwepo wengi. Matumizi ya mafuta siwezi sema saana sababu hizo gari zote zina engine options nyingi. Ila kama utalingalisha 320i na c180, then c180 inatumia mafuta kidogo zaidi kuliko 320i. Mwisho kabisa, Bimmer = Fun, Merc = Comfort.
With all mighty leta niiguse tu inatosha kabisa... MThanks big brother,i'll take bmw na trip ya kwanza itakuwa msata nije tulitambikie kwa mizimu[emoji23][emoji23]
Kama unaiagiza Japan, hakikisha instrument cluster (wengi tunaita dashboard) ni safi, haiwashi taa ya kuonesha tatizo. Ila e90s nzuri ni zile za baada ya facelift. Yaani kuanzia model ya 2009. Hizi hazina shida saana. Usiogope 6 cylinder. Maana 325i na 328i engine zake ziko refined saana na zina roho ya paka. Na ukitaka kufurahia hiyo gari, hakikisha unakuwa rafiki na OEM parts, sio kununua spares za fake fake (japo ni chache kwa gari hizi)Shukrani sana sana mkuu,vipi taa ya check engine kwa hizi e90 maana bmw nyingi zinasumbuliwa na hili tatizo mkuu.
Mkuu umenipa madini muhimu sana,salute kwako kaka.Kama unaiagiza Japan, hakikisha instrument cluster (wengi tunaita dashboard) ni safi, haiwashi taa ya kuonesha tatizo. Ila e90s nzuri ni zile za baada ya facelift. Yaani kuanzia model ya 2009. Hizi hazina shida saana. Usiogope 6 cylinder. Maana 325i na 328i engine zake ziko refined saana na zina roho ya paka. Na ukitaka kufurahia hiyo gari, hakikisha unakuwa rafiki na OEM parts, sio kununua spares za fake fake (japo ni chache kwa gari hizi)
BMW E90 [emoji106]Habari wakuu!
Nipo kwenye mchakato wa kuagiza gari mojawapo kati ya mercedes benz w203 na Bmw E90 ila nahitaji mawazo yenu kuhusiana na: Uimara,running cost pamoja na matumizi ya mafuta.
hahahaWith all mighty leta niiguse tu inatosha kabisa... M
Ushanunua nije kuomba lift?Habari wakuu!
Nipo kwenye mchakato wa kuagiza gari mojawapo kati ya mercedes benz w203 na Bmw E90 ila nahitaji mawazo yenu kuhusiana na: Uimara,running cost pamoja na matumizi ya mafuta.