mr rocky ni nani?mimi ningependa kuona kuona mr.rocky na bebii wakifunga ndoa,kwani hawa wana mitazamo tofauti ya ndoa,hivyo itakuwa ni wakati wa mmoja kumprove wrong mwingine!
mmmh kwani ndoa ni nini kwanza? ILA NAOGOPA FUMANIZI TAFADHALI USINITAJE HUMUbebiii ndo huyu hapa anaitwa mr mwamba.
Bebii ni nani??mr rocky ni nani?