Ipi kapo kali kati ya hizi

Kama unadhan baraka ni supa star basi ni supastar mshamba tanzania amaonekana mduanzia tu! Apo mkali wao ni nareel
 
Hiki kitoto lazima kichukue pesa yangu walahi, mwenye namba ya Tunda tafadhari anipatie ............Young D hawezi kumpa maisha anayostahili huyo binti.
Kama ndio chambo chake kila la kheri ila dogo ume mshindilia vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…