Kwanza jiulize ni kada gani ambayo hufanya mitihani mingi kuliko kada zote hata nchini?? KIUFUPI
PCB anapiga Phy,Chem na Bios mitihani mi3 jumla 9 + BAM na GS jumla ni 11
PCM anapiga phy na chem mitihani 3 na math mi2 jumla 8 + BAM na GS inakuwa 10
CBG anapiga chem na bios mitihani 3 na Geog mi2 jumla 8 + BaM na GS jumla 10
PGM anamiga Geog na Math mitihani mi2 na phy mi3 jumla 7 + BaM na GS inakua 9
Pia kumbuka kua hao wanaolalamika ni Madokta ambao wanasoma chuo MIAKA 5 pia kumbuka kuawa suala la kuhudumia wagonjwa tena mahututi sio suala la kupuuzia mwisho wa mwezi.
Nadhani utakua Umeona Madokta wetu wanavyo hangaika na na selikali ya baba rizi inavyo wapuuzia. Nadhani vijana wana HAKI ya kugoma.