Ipi microscope nzuri

Ipi microscope nzuri

Konzogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
434
Reaction score
156
Nahitaji kununua microscope nzuri kwa ajili ya matumizi ya maabara ya zahanati. Mwenye utaalamu naomba anisaidie specifications za microscope ya kiwango kizuri.
 
Microscope... dah! mi naikumbuka ya O level.... ngoja waje, watakujibu tu, wataalam wengi humu.
 
nzur ni ile ya kutmia umeme ndo inaobserv specmen clear kabxa ila ni ghali xan na hax huptkan kwny hoxptal kubw kam muhmbil bt kam matmiz yak ni ya maabar na ya kawaid hat ile ya kutmia mwanga itakfaa coz co expensve xan...
 
Zinanikera sana hizi x kuwa s da.
 
Back
Top Bottom