Hazifanani kiutendaji kazi. Iron Dome ni short range defence system dhidi ya roketi, makombora ya mizinga, drone, cruise missiles n.k. katika umbali mfupi (chini ya km 70).
Barak 8 ni medium & long range defence system. Hii ni defence system dhidi ya ndege, helicopter za kivita, cruise missiles katika umbali wa kati na masafa marefu.
Kila moja iko makini kwenye kazi yake binafsi ila zote ni muhimu na zinategemeana katika masuala ya ulizi wa anga.
Pia, nikusahihishe kidogo. Hiyo Barak 8 ni ya Israel pia. Hata jina lenyewe ni la kiebrania. Ila, wakati wa kuiunda walifanya collaboration na India.