Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Una familia inaitaji kula na kunywa na kutibiwa ,kwenda shule wewe ubahatika kuwa na mtaji wa biashara uwouwo mtaji unaweza kuweka maji nyumbani kwako ukaisha, je ipi muimu kuweka maji ukaisha au kufunguwa biashara ambayo italeta maji, kula, kusomesha watotoHabari!
Siijui bajeti ya SGR kiundani ila najua tu kuwa ni zaidi ya trilioni 7 zitatumika kama itaanzia Dar mpaka Mwanza ikipitia Morogoro na Dodoma.
Shilingi trilioni 7 ukiziweka kwenye miundombinu ya maji zinaweza kufanya kila kaya nchi yote kupata maji safi na salama na chenji inarudi.
Je, tulipaswa kuanza na treni ambayo inapita mikoa michache tu au kusambaza maji safi kila kaya nchi mzima?.
Kila Bunge lazima asimame mbunge kuomba maji bungeni kwake.Una familia inaitaji kula na kunywa na kutibiwa ,kwenda shule wewe ubahatika kuwa na mtaji wa biashara uwouwo mtaji unaweza kuweka maji nyumbani kwako ukaisha,je ipi muimu kuweka maji ukaisha au kufunguwa biashara ambayo italeta maji ,kula ,kusomesha watoto
Maamuzi ya kisiasa bila kutumia weledi wa kitaaluma yameigharimu hii nchi pakubwa mnoHabari!
Siijui bajeti ya SGR kiundani ila najua tu kuwa ni zaidi ya trilioni 7 zitatumika kama itaanzia Dar mpaka Mwanza ikipitia Morogoro na Dodoma.
Shilingi trilioni 7 ukiziweka kwenye miundombinu ya maji zinaweza kufanya kila kaya nchi yote kupata maji safi na salama na chenji inarudi.
Je, tulipaswa kuanza na treni ambayo inapita mikoa michache tu au kusambaza maji safi kila kaya nchi mzima?.
Kwa hapa tulipofikia, tununue smelter tuanze kuzalisha chuma. Chuma kila siku tunatumia na tunauhitaji nacho sana.Habari!
Siijui bajeti ya SGR kiundani ila najua tu kuwa ni zaidi ya trilioni 7 zitatumika kama itaanzia Dar mpaka Mwanza ikipitia Morogoro na Dodoma.
Shilingi trilioni 7 ukiziweka kwenye miundombinu ya maji zinaweza kufanya kila kaya nchi yote kupata maji safi na salama na chenji inarudi.
Je, tulipaswa kuanza na treni ambayo inapita mikoa michache tu au kusambaza maji safi kila kaya nchi mzima?.
Hizi nondo tunazotumia wanatumia chuma cha wapi?Kwa hapa tulipofikia, tununue smelter tuanze kuzalisha chuma. Chuma kila siku tunatumia na tunauhitaji nacho sana.
Tunatumia madola mengi sana kuagiza bidhaa za Chuma kutoka nje. Sasa ifike wakati tuzalishe chuma kwa ajili ya matumizi yetu wenyewe na soko la nje pia
Sio kila size ya nondo tunazalisha nchini. Nondo za kujengea madaraja na majengo makubwa zipo zinazotoka nje Jidu La Mabambasi karibu kwa ushauriHizi nondo tunazotumia wanatumia chuma cha wapi?
Kila siku Wahindi na Wachina wanatengeneza nondo fake kwa kutumia mabaki ya mabati na chumaKwa hapa tulipofikia, tununue smelter tuanze kuzalisha chuma. Chuma kila siku tunatumia na tunauhitaji nacho sana.
Tunatumia madola mengi sana kuagiza bidhaa za Chuma kutoka nje. Sasa ifike wakati tuzalishe chuma kwa ajili ya matumizi yetu wenyewe na soko la nje pia
Sasa mtu atapataje sifa kwa kuweka mabomba ya maji kila nyumba? Sifa ipo kwenye SGR, bwawa la umeme, flyover, stendi kubwa ya mabasi, vitu kama hivyo. Hizo bomba za maji majumbani kwenu zitaonekana vipi na wenngi?Habari!
Siijui bajeti ya SGR kiundani ila najua tu kuwa ni zaidi ya trilioni 7 zitatumika kama itaanzia Dar mpaka Mwanza ikipitia Morogoro na Dodoma.
Shilingi trilioni 7 ukiziweka kwenye miundombinu ya maji zinaweza kufanya kila kaya nchi yote kupata maji safi na salama na chenji inarudi.
Je, tulipaswa kuanza na treni ambayo inapita mikoa michache tu au kusambaza maji safi kila kaya nchi mzima?.
Cha ajabu kila Bunge tangu nikiwa mtoto lazima asimame mbunge kuomba maji.Sasa mtu atapataje sifa kwa kuweka mabomba ya maji kila nyumba? Sifa ipo kwenye SGR, bwawa la umeme, flyover, stendi kubwa ya mabasi, vitu kama hivyo. Hizo bomba za maji majumbani kwenu zitaonekana vipi na wenngi?