Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
Naomba ushauri kutoka kwenu, jambo lipi linalipa kwa haraka na kwa mtaji mdogo nijenge vyumba vinne vya kulala kisha nipangishe au nijenge fremu nne kisha nipangishe kwa ajili ya biashara .Naomba ushauri wenu