Naomba ushauri kutoka kwenu, jambo lipi linalipa kwa haraka na kwa mtaji mdogo nijenge vyumba vinne vya kulala kisha nipangishe au nijenge fremu nne kisha nipangishe kwa ajili ya biashara .Naomba ushauri wenu

Kama kiwanja chako kipo karibu na barabara jenga fremu zitakulipa,ila kama kiwanja kipo ndanindani sana itachukua miaka mingi sana kuja kupata wapangaji