rapharacker
Member
- Jul 22, 2016
- 65
- 23
Gree mwaka 2018 au 19 niliwahi iona taasisi fulani ya private nilipokuwa kwenye kazi maalumu, aiseee ipo bomba sana. Sema wabongo tumeshakalili Hisense.Ac inayofanya vizuri ni gree kwa sasa, mcheki yusuph ndo dealer pekee kwa hapa tanzania.