ipi ni course bora ya afya.

ipi ni course bora ya afya.

suley hazard

Member
Joined
May 19, 2014
Posts
61
Reaction score
116
jaman mimi nimemalza form 6 PCB mwaka huu.kam matokeo yakiw mazur,mnanishauri nixome faculty gan itay0nipa ajira serikalin directly.
 
Kama unataka kuxoma nadhani afya haikufai..ila kama unataka kusoma na unao uwezo go for Medicine or Pharmacy
 
mi hua napata wakati mgumu kumuelekeza mtu achukue nini, yani we hujui unachopenda hadi leo hii?
Njoo hapa na sema "mimi napenda hiki, mnisaidie kinakwendaje"
We mtu anayekuchagulia mwisho wa siku mziki wake ukushinde interest hakuna ubaki kutupa lawama
 
Km wapenda kusoma na unapenda fani za utabibu soma dds pia itategemea msuli wako na hamu yako.vema amua wataka nini na unamalengo yapi ushauriwe
 
Back
Top Bottom