Ipi ni Curry Powder best kwa sasa.

Ipi ni Curry Powder best kwa sasa.

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,711
Reaction score
3,279
Habari wakuu

Naomba kujua Curry powder ipi ni bora zaidi kwa sasa ambayo inaweza fanya mboga yangu ya bamia na nyanyachungu zitaste kama nyama roast.
 
Wapishi wanakuja Mkuu.

Kazi Kweli Kweli Mkuu
Job True True General
 
Kwa nini unataka ubadilishe ladha ya vegetable to beef?
Na je hiyo ndiyo kazi ya curry powder?


Anyway vifaa vyangu hivi hapa
20231207_123242.jpg
 
Kuna curry powder fulani hv ipo kwenye kipakti chekundu aisee nzuri sana
 
Curry powder (binzari) kazi yake sio kuleta ladha ya nyama kwenye chakula.
 
Nadhani kuna binzali na masala ni vitu viwili tofauti. Binzali inaleta rangi then masala ndio inaleta ladha.
 
Back
Top Bottom