Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Naomba unifafanulie matumizi ya kila mojawapo kati ya hizo tatu.Kwa nini unataka ubadilishe ladha ya vegetable to beef?
Na je hiyo ndiyo kazi ya curry powder?
Anyway vifaa vyangu hivi hapaView attachment 2835560
jina hukumbuki?Kuna curry powder fulani hv ipo kwenye kipakti chekundu aisee nzuri sana
Mkiugua Saratani mnaanza kutuhangaisha kuwachangia matibabu!! Ya nini yote hayoo???Kwa nini unataka ubadilishe ladha ya vegetable to beef?
Na je hiyo ndiyo kazi ya curry powder?
Anyway vifaa vyangu hivi hapaView attachment 2835560