Ipi ni Gearbox Oil Bora Kwa Honda CRV na Kms Za Ubadilishaji ni ngapi?

Ipi ni Gearbox Oil Bora Kwa Honda CRV na Kms Za Ubadilishaji ni ngapi?

Wa Mjengoni

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Posts
480
Reaction score
128
Wandugu wapenzi ieleweke magari tunayoagiza used mengine yanakuwa hayana Mannuals za kutuelekeza mambo fulani fulani, kama la kwangu.Swali hilo hapo juu lenye (a) na (b) tusaidiane tafadhali.....
 
Hiyo gear box ya gari yako ni auto au manual?
 
Mwaka gani, engine code gani? Ila honda wanataka utumie oil yao ATF-Z1, badilisha kila 15-30 thousand miles.
 
Wandugu wapenzi ieleweke magari tunayoagiza used mengine yanakuwa hayana Mannuals za kutuelekeza mambo fulani fulani, kama la kwangu.Swali hilo hapo juu lenye (a) na (b) tusaidiane tafadhali.....

Tembelea www.valvolineeurope.com chagua lube advisor then chagua aina ya gari lako utaona
oil wanayo kushauli kutumia.
 
Ukifungua dipstick itizame utaona aina ya oil imeandikwa mfano Type T IV...utakayoiina hapo basi tumia hio hio usiweke nyengine ukaja kuchukia gari
 
Back
Top Bottom