Prodigy Oligarchy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 571
- 653
Wana Jf habari,
Pameibuka makampuni mengi sana, ambayo yanajihusisha na uuzaji magari kutoka japan kuleta huku
Na kila moja akijitangaza kuwa bora zaidi.
Kitu ambacho kwa wageni ambao wanahitaji kufanya maamuzi ya uagizaji, huwa kinawachanganya, wasijue ipi ni sahihi ipi sio.
Naamini tunao watu humu ambao wameshawahi kuagiza magari mara kadha wa kadha kwenye kampuni moja ama mbalimbali japan n.k hivyo wana experience nzuri.
Ipi ni kampuni bora kabisa na ambayo unaweza kuitumia kwaajili ya kuagiza gari/magari kwayo, kampuni ambayo bila wasi wasi unaweza hata kumshauri mtu aagize gari lake Kwayo kwa sababu ni ya kuamini, na kamwe huwezi jutia.
Tunaomba kujifunza, kabla ya kufanya maamuzi ya manunuzi.
Ahsante
P. Oligarchy.