Ipi ni kinyume sahihi ya hii sentensi?

Ipi ni kinyume sahihi ya hii sentensi?

Fasouls

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2011
Posts
937
Reaction score
319
Mahali hapa pana hela
1) Mahali hapa hapana hela
2)Si mahali hapa pana hela
3) Si mahali hapa hapana hela.

Usisahau kuniambia kwanini.....
 
Mahali hapa pana hela
1) Mahali hapa hapana hela
2)Si mahali hapa pana hela
3) Si mahali hapa hapana hela.

Usisahau kuniambia kwanini.....

Tungo namba moja ndiyo iliyosahii yaani ndiyo kinyume cha hiyo tungo kuu.

Mahali hapa pana hela=kianachotakiwa kukanushwa hapa ni kitenzi pana.

Hivyo basi:-
Mahali hapa pana pesa. Kanushi yake ni
Mahali hapa hapana pesa

2.Si mahali hapa pana pesa= katika tungo hii kinachosisitizwa ni neno MAHALI

Tungo hii ni kanushi ya:- Ni mahali hapa pana hela

Kwahiyo kimaana tungo zote mbili zinafanana ila kimuundo wa sarufi na upatanisho wake zinatofautiana.

Kutokana na upananisho wa kisarufi kinyume cha "Mahali hapa pana hela" ni= Mahali hapa hapana hela

"Si mahali hapa pana hela"="
Ni mahali hapa pana hela"
 
Back
Top Bottom