Tungo namba moja ndiyo iliyosahii yaani ndiyo kinyume cha hiyo tungo kuu.
Mahali hapa pana hela=kianachotakiwa kukanushwa hapa ni kitenzi pana.
Hivyo basi:- Mahali hapa pana pesa. Kanushi yake ni
Mahali hapa hapana pesa
2.Si mahali hapa pana pesa= katika tungo hii kinachosisitizwa ni neno MAHALI
Tungo hii ni kanushi ya:- Ni mahali hapa pana hela Kwahiyo kimaana tungo zote mbili zinafanana ila kimuundo wa sarufi na upatanisho wake zinatofautiana.
Kutokana na upananisho wa kisarufikinyume cha "Mahali hapa pana hela" ni= Mahali hapa hapana hela
"Si mahali hapa pana hela"="Ni mahali hapa pana hela"