katika course bora za biashara bora kabisa basi BBA inabakia kuwa course bora kabisa tena hakikisha unasoma ile general isiyo na specilisation kabisa
BBA inabeba module zifuatazo ambazo utaweza kufanya kazi kada tofauti tofauti
1. Business Environment hili somo litakufanya ujue internal and external forces za uendeshaji wa kampuni yoyote ile
2. Marketing Management, hapa mambo yote ya positioning,targeting and differentiation kiufupi kila kitu kuhusu marketing utakipata hapa kuanzia strategies mpaka reseach zake hapa ukimpata phillip cotler utaenjoy sana
3. Marketing research
4. E commerce
5. Service Marketing
hizo ni module muhimu sana za wataalamu wa marketing ambazo utazioata ukisoma BBA
BBA Pia inabeba module za Accounting ambapo ukitokea BBA ili ufanye CPA kwa kuwa CPA ina level 3 na kila level ina masomo yake hivyo basi ukitokea BBA kuna masomo 2 ya fondation ambayo utafutiwa na utaanza 3 baada ya hapo utaenda zako intenidate kama hayo 3 utafaulu utofauti na mtu wa mtu wa Accounting aliyefanya degree hiyo moja kwa moja masomo ya foundation yote anafutiwa
BBA utajifunza module za accounting kama ifuatavyo
1. Management Accounting
2. Corporate finance
3. Business Accounting
4. Business Mathematics
5. Business Law ( HILI LITAFUTWA LEVEL YA FOUNDATION )
6. Cost Accounting
7. Quantitative Method ( HILI LITAFUTWA LEVEL YA FOUNDATION )
8. Taxation
9. Financial Management
10 Risk Management
NOTE: BBA kwa module za accounting huwa waingii deep sana ila kama una malengo mazuri baada ya kupata msingi huo chimba vizuri zaidi ya hapo
BBA ina module za HR kama ifuatavyo
1. Human resource Management hapa utasoma recruitment and selection, performance appraisal, human resource planning, human resource training and development
2. labour law
3. Legal Context of Employment Relations
4. Human Resource Information Systems
5. Strategic Management
sasa kwa kupitia hapo tu unaweza kufanya HR department kitengo chochote kile
Kwa maoni yangu BBA inawigo mpana sana wa kukufanya uajiriwe kirahisi sana na wigo wake ni mpana sana maana hata hapo kunamengine nimeyaacha kama kusaidia watu kufungua kampuni brela kuandaa memat na hata kusaidia wageni kuweza kupata permit za kuishi na kufanya kazi BBA inakupa package yote hiyo