Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 553
Anuani yako ingekuwa hivi "Ipi ni kauli sahihi..." badala ya "lugha" sahihi ungekuwa umepatia.Mara nyingi tunapoondokewa na wapendwa wetu ambao wametangulia mbele za haki huwa naonaga kuna misemo ya aina mbili ambayo watu huitumia katika kuonesha kuguswa na tukio la msiba.
Wengine husema marehemu apumzike mahali pema peponi na wengine husema marehemu apumzike panapostahili
Nini hasa utofauti wa hisi semi mbili na nini mtazamo wako juu ya hizi semi ?
Tunaposema apumizike mahali pema in kma umamuombea,sababu hakuna mkamilifu
Ila unaposema apumzke panapostahili yaan hkumu anahostahili ndo apewe hio hio
Ya kwanza ni kama sala ya kumuombea makazi mema, regardless ya matendo yake hapa duniani, ya pili ni kama kumzodoa sababu ya chuki.Wengine husema marehemu apumzike mahali pema peponi na wengine husema marehemu apumzike panapostahili
Nini hasa utofauti wa hisi semi mbili na nini mtazamo wako juu ya hizi semi ?
Mara nyingi maneno haya hutumika kwa ajili ya faraja kwa walio baki maana mtu akishafunga macho hasikii tenaMara nyingi tunapoondokewa na wapendwa wetu ambao wametangulia mbele za haki huwa naonaga kuna misemo ya aina mbili ambayo watu huitumia katika kuonesha kuguswa na tukio la msiba.
Wengine husema marehemu apumzike mahali pema peponi na wengine husema marehemu apumzike panapostahili
Nini hasa utofauti wa hisi semi mbili na nini mtazamo wako juu ya hizi semi ?
kwahiyo, kwa marehemu kama Hamza tusemeje?Mara nyingi tunapoondokewa na wapendwa wetu ambao wametangulia mbele za haki huwa naonaga kuna misemo ya aina mbili ambayo watu huitumia katika kuonesha kuguswa na tukio la msiba.
Wengine husema marehemu apumzike mahali pema peponi na wengine husema marehemu apumzike panapostahili
Nini hasa utofauti wa hisi semi mbili na nini mtazamo wako juu ya hizi semi ?
Ya kwanza inastaha ila ya pili inafaa zaidiMara nyingi tunapoondokewa na wapendwa wetu ambao wametangulia mbele za haki huwa naonaga kuna misemo ya aina mbili ambayo watu huitumia katika kuonesha kuguswa na tukio la msiba.
Wengine husema marehemu apumzike mahali pema peponi na wengine husema marehemu apumzike panapostahili
Nini hasa utofauti wa hisi semi mbili na nini mtazamo wako juu ya hizi semi ?
Kiutu ni alale mahali pema peponi lakini kiuhalisia ni alale anapostahiliMara nyingi tunapoondokewa na wapendwa wetu ambao wametangulia mbele za haki huwa naonaga kuna misemo ya aina mbili ambayo watu huitumia katika kuonesha kuguswa na tukio la msiba.
Wengine husema marehemu apumzike mahali pema peponi na wengine husema marehemu apumzike panapostahili
Nini hasa utofauti wa hisi semi mbili na nini mtazamo wako juu ya hizi semi ?