Zero Competition JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 347 Reaction score 553 Sep 12, 2021 Thread starter #21 Mshana Jr said: Kiutu ni alale mahali pema peponi lakini kiuhalisia ni alale anapostahili Click to expand... Umesomeka kiongozi
Mshana Jr said: Kiutu ni alale mahali pema peponi lakini kiuhalisia ni alale anapostahili Click to expand... Umesomeka kiongozi
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Sep 12, 2021 #22 FRANCIS DA DON said: Ya kwanza ni kama sala ya kumuombea makazi mema, regardless ya matendo yake hapa duniani, ya pili ni kama kumzodoa sababu ya chuki. Click to expand... Na inaweza ikawa si chuki.Yaweza kuwa uchungu,kuchoka na kukata tamaa kwa mtoa kauli.
FRANCIS DA DON said: Ya kwanza ni kama sala ya kumuombea makazi mema, regardless ya matendo yake hapa duniani, ya pili ni kama kumzodoa sababu ya chuki. Click to expand... Na inaweza ikawa si chuki.Yaweza kuwa uchungu,kuchoka na kukata tamaa kwa mtoa kauli.