Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
Malizia kwanza hizo siku zilizobaki kisha urudi hapa kutusimulia kama bado utakuwa hai.Nimeanza na masaa24
Leo nimefika masaa 25
Nataka slow slow nifike masaa48, max siku 4
Nimeambiwa ni nzuri kwa kufanya body reset na healing
Lakini pia ni muhimu kujua madhara yanayoweza kutokea kwa sababu hiyo si mfungo wa kawaida!
ipi ni madhara ya mfungo wa zaidi ya masaa24 had 48
Funga hizo saa 48 kisha rudi hapa kama bado mzima uje kutupa mrejesho. Tunakusibiri.Nimeanza na masaa24
Leo nimefika masaa 25
Nataka slow slow nifike masaa48, max siku 4
Nimeambiwa ni nzuri kwa kufanya body reset na healing
Lakini pia ni muhimu kujua madhara yanayoweza kutokea kwa sababu hiyo si mfungo wa kawaida!
ipi ni madhara ya mfungo wa zaidi ya masaa24 had 48
Kwaiyo unadhan kufa ni rahisi ivoFunga hizo saa 48 kisha rudi hapa kama bado mzima uje kutupa mrejesho. Tunakusibiri.
Narudia, funga kisha rudi hapa kutoa mrejesho, shida iko wapi.....tunasubiri mrejesho wako.Kwaiyo unadhan kufa ni rahisi ivo
Mi nimeweza 24 na nauwezo wa kwenda hata 48 sema madhara yake ndo nahofia
Hapa Mbeya kuna muumini wa Efatha Forest mpya alifunga hizo mnazoita kavu siku ya tatu hakuimaliza. Hatupo naye kwa sasaNimeanza na masaa24
Leo nimefika masaa 25
Nataka slow slow nifike masaa48, max siku 4
Nimeambiwa ni nzuri kwa kufanya body reset na healing
Lakini pia ni muhimu kujua madhara yanayoweza kutokea kwa sababu hiyo si mfungo wa kawaida!
ipi ni madhara ya mfungo wa zaidi ya masaa24 had 48
🤣🤣🤣🤣🤣we acha izo had ufe unaanza kukonda kwanzaHapa Mbeya kuna muumini wa Efatha Forest mpya alifunga hizo mnazoita kavu siku ya tatu hakuimaliza. Hatupo naye kwa sasa
Hapo nakubaliana na wwUnaweza lakini madhara kama ukosefu wa maji mwilini,ambapo utakosa nguvu.Mimi nilijaribu nilipofika masaa 36 usiku wa saa 4 nilishindwa kuendelea kwanza nilihisi mwili hauna maji hata mate mdomoni sikuwa nayo p nilishindwa kuanza kuona pia nguvu niliishiwa kabisa.
Nilichojifunza ili kufikia masaa 48 unahitaji maandalizi ya wiki nzima kuuandaa mwili.pia maji ni muhimu kuyatumia unapo funga ni muhimu unaweza kufa kwa kukosa maji mwilini kwa maana ya kujiua.
Wanasema mwanaume anaweza kukaa siku 5 bila kula akaishia.mwanamke siku 8
Nimefunga masaa 24 na masaa26 kwa siku mbili.Narudia, funga kisha rudi hapa kutoa mrejesho, shida iko wapi.....tunasubiri mrejesho wako.
Kweli changamoto ni siku atayoanza kulaHaina madhara jombaa wala nini kitaa kuna walokole mtaani kwangu wakiongozwa na Mama Ebeneza wanapiga tatu kavu, tano kavu mpaka saba kavu.
Kwanini watengeneza kitu usichokiona kionekane. Go face your demonKwaiyo unadhan kufa ni rahisi ivo
Mi nimeweza 24 na nauwezo wa kwenda hata 48 sema madhara yake ndo nahofia
Kupata unachotaka ni muhimu kujua nn waweza potezaKwanini watengeneza kitu usichokiona kionekane. Go face your demon
Hapa kuna assumption tuu hakuna fact unazotafuta, kila mtu ana personal experience yake ambayo haiwezi na haitaweza kuwa yako, kama wakubali hii malizia mfungo wako
Kikubwa sikiliza moyo wako wakuambia nini
Jaribu mkuu ili tupate uzoefu kutoka kwako. Mpatie kabisa mtu nywira yako ya humu ili likitokea jambo aje kutupa ushuhuda jinsi hali ilivyokuwa kuanzia siku ya tatu🤣🤣🤣🤣🤣we acha izo had ufe unaanza kukonda kwanza