Hello wakuu,
Naomba msaada nimehitimu kidato Cha nne kwaka Jana 2020 na kupata grade C flat na nataka niingie college
Je, kati ya course mbili hizi civil na electrical & hydro power engineerings niipi iko marketable hapa Tanzania ngazi ya diploma
Note; Electrical and Hydropower engineering ni mpya vile kwani inatolewa ATC pekee.