Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
Habari wanaJamiiForums
Kwa wale mafundi wa kuchomelea naomba kupata maarifa kayi ya hizi mashine 2 ipi nzuri zaidi kwenye kuchomelea na kwanini na naomba kujua uwezo wake vilevile